channel logo dark
channel logo dark

The Wife

160Tamthilia16

Mqhele Amuua Sandile – Mapenzi ya Hlomu Yageuka Damu I The Wife I S1 I Ep 39-40 I Maisha Magic Bongo

Video08 Septemba

Hasira za Mqhele zinampeleka mbali — anamnyang’anya uhai Sandile baada ya kugundua uhusiano wake na Hlomu. Wakati Hlomu akienda kumtembelea Sandile, anakutana na hali ya kutisha: Sandile tayari ameuwawa! Wakati huo huo, ndugu wa Zulu Brothers wanafanikisha mpango wao wa kumtorosha Zandile gerezani, hali inayoongeza moto kwenye drama hii ya kifamilia na kimapenzi.