Sikujua anamfungukia Mchuma kuwa mimba aliyobeba ni matokeo ya shinikizo la kulala na Fahad ili Mchuma arejeshwe kazini :scream:. Wakati huo, Mama Karen anaingia kasri la Bi Barke kuibua moto akidai mwanawe aliyenaswa na familia ya Munir kinyume na maridhiano yake.