channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Razia Afumaniwa na Kipimo cha Mimba – JIVU

Video23 Agosti

Drama yazidi kupamba moto ndani ya JIVU! Fahad anamkaba Razia baada ya kugundua kipimo cha ujauzito chumbani kwao — kwa nini hakumwambia kama ana mimba? Wakati huo huo, Sikujua anamfungukia mpenzi wake Mchuma kuhusu tukio la kubakwa lililompelekea kupata ujauzito. Je, ukweli huu mzito utavunja uhusiano na familia nzima, au kufungua mlango wa maafa makubwa zaidi? Usikose JIVU kwenye Maisha Magic Bongo!