Drama inazidi kupamba moto kwenye #Huba
Ray akiwa na Nelly anajikuta uso kwa uso na Malaika – kumbe wanajuana! Ila mambo yanageuka ghafla baada ya Malaika kumpiga kofi :flushed:. Wakati huo huo, Tima na Ritha wanashikana koo juu ya watoto wa Tima :exploding_head:. Nelly naye anabaki kusikiliza Abby akimuomba msamaha kwa kutokuwa mume bora.
Mapenzi, vuta nikuvute na siri zinapamba moto zaidi!