channel logo dark
channel logo dark

Mpali

160Drama16

Wake wa Nguzu hawataki maombi kisa Lindiwe – Mpali

Video22 Agosti

Nguvu za kifamilia zasababisha mtikiso mpya ndani ya nyumba ya Nguzu! Baada ya mazungumzo mafupi kati ya Hambe na mkewe kuhusu kumsaidia Frank, simulizi kubwa inaanza kwa Nguzu na wake zake. Lindiwe anapendekeza familia ikutane nyumbani kwa ajili ya kufanya maombi, lakini wake wengine wanapinga vikali wazo hilo. Mabishano yanazidi kupamba moto, kila mmoja akishikilia msimamo wake. Je, familia hii kubwa itaweza kuungana tena, au migawanyiko mizito zaidi inaanza? Usikose Mpali kwenye Maisha Magic Bongo!