channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Fahad Akiri Kutokuwa Tayari Kuwa Baba – JIVU I S1 I Ep 39-40 I Maisha Magic Bongo

Video06 Septemba

Fahad anamueleza mkewe Razia kuhusu mimba, akionekana wazi hayuko tayari kubeba majukumu ya baba . Anakiri mimba hiyo inamchanganya sana, lakini Razia anaendelea kumsihi waiachie akazalie mtoto huyo. (Lakini kumbuka — mimba hiyo ni ya Kawia! ) Wakati huo huo, Ajuaje anamkabili binti yake Sikujua baada ya kugundua mimba aliyobeba baba yake ni Fahad. Majibizano makali ya mama na mtoto yanatibua hali, siri zikifichuka na maumivu kuongezeka. Je, ukweli huu utazidi kuivunja familia hii?