Drama inazidi kushika moto ! Kamishna anawapa Zulu Brothers jukumu la kumtafuta mke wake – lakini hatarajii kwamba Palesa ameshakufa tayari mikononi mwao. Sasa familia ya Zulu inakabiliana na siri nzito, mtihani mzito na hatari zisizoelezeka, huku kila mmoja akijua kidogo kuhusu ukweli unaowazunguka.