Mwanida anamfungukia mama yake kuhusu hofu kubwa anayobeba . Anamueleza wazi kuwa Frank amevamia benki, na sasa anaogopa huenda akamvuta naye kwenye hatari hii ya uhalifu!
Je, mapenzi ya Mwanida kwa Frank yataendelea kustahimili siri hii nzito, au ni mwanzo wa mwisho wa uhusiano wao?