Hasira za Mqhele zinampeleka mbali — anamnyang’anya uhai Sandile baada ya kugundua uhusiano wake na Hlomu. Wakati Hlomu akienda kumtembelea Sandile, anakutana na hali ya kutisha: Sandile tayari ameuwawa!
Wakati huo huo, ndugu wa Zulu Brothers wanafanikisha mpango wao wa kumtorosha Zandile gerezani, hali inayoongeza moto kwenye drama hii ya kifamilia na kimapenzi.