Ray na Abby wanachukua uamuzi mgumu — kuikimbia nyumba! Lakini je, kukimbia kutawapatia suluhisho au ni mwanzo wa maafa mapya?
Mambo yanageuka hatari zaidi pale Ray anapomvamia Tima na kumshikia bastola . Tima anakutana uso kwa uso na hofu, huku kila mtu akijiuliza — je, Ray amefikia wapi?
Je, hatua hii ya Ray itabadilisha hatima ya wote walioko karibu naye?