channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Siri ya Mimba ya Mchuma & Moto wa Mama Karen – JIVU

Video30 Agosti

Sikujua anamfungukia Mchuma kuwa mimba aliyobeba ni matokeo ya shinikizo la kulala na Fahad ili Mchuma arejeshwe kazini :scream:. Wakati huo, Mama Karen anaingia kasri la Bi Barke kuibua moto akidai mwanawe aliyenaswa na familia ya Munir kinyume na maridhiano yake.