Kuzo amemteka baba mtoto wa Tombi, na kumtaka Tombi akamuone haraka iwezekanavyo kama anataka baba watoto wake awe salama na akishindwa atamuua… Tombi anaitikia wito na hata kwenda kwake hakubadilishi chochote kwani Kuzo anampa bastola na kumuamuru kumua baba mtoto wake.
#Mpali #KuzoNaTombi #MpaliDrama #MaishaMagicBongo #ZambeziMagic #MpaliSeason5