Siku ambayo ilipaswa kuwa ya furaha imegeuka kuwa uwanja wa vita wa kihisia. Hlomu, akiwa tayari kuvaa pete ya ndoa, anagoma kutoka nje baada ya kugundua ukweli wa kusikitisha kuhusu Mqhele. Moyo wake umejaa machungu na hofu — hana tena uhakika kama yuko salama kwenye mikono ya mtu aliyempenda.
Lakini drama haijaishia hapo! Zulu brothers wanazozana vikali – mpasuko wa familia unalipuka wazi baada ya kujulikana kwamba Hlomu anajua siri yao kubwa.
Je, harusi hii itafungwa? Au ni mwanzo wa mwisho wa familia ya Zulu?
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ