channel logo dark
channel logo dark

The Wife

160Tamthilia16

Nyumba ya Zulu Brothers Yachomwa Moto – The Wife

Video13 Juni

Wakati Zulu Brothers wakiwa katika sherehe za Mqhele kumvalisha pete Hlomu huku nyuma wapinzani wao Majola wamevamia nyumba yao na kuichoma moto. Wanapata taarifa za kujaribu kuokoa mali zao zilizokuwa ndani ya nyumba hiyo. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ