Lindiwe anazidiwa na hasira baada ya kuhisi Tamara anampokonya nafasi yake kama mama. Mzozo wao unafikia kilele hadi kupigana, jambo linaloibua maswali mazito kuhusu uhusiano wa wake wa Nguzu na hali ya malezi shambani. Je, Nguzu ataingilia kati au hali itazidi kuwa mbaya?
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ