channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Munir atuliza maandamano na mgomo wa wafanyakazi – Jivu I S1 I Ep 19-20 I Maisha Magic Bongo

Video28 Juni

Tension yazidi kupanda katika JIVU! Baada ya hali kuwa ngumu kazini, wafanyakazi wa Temboni wanachoka kuvumilia na kufanya maandamano makali hadi kwenye nyumba ya Mzee Habib, wakitaka haki zao. Munir anajitokeza kama mpatanishi —anajaribu kuzuia ghasia zisizimike. Lakini ndani ya familia, taharuki nyingine inachipuka: Razia anamwambia waziwazi Fahad kuwa Munir anaanza kumfunika. Je, huu ni mwanzo wa mapambano ya madaraka nyumbani kwa Habib? — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ