Chela anamfuata Hambe kazini akiwa na hofu kubwa .
Anamsihi warudi nyumbani haraka kwani kuna hatari ya wao kukamatwa na polisi .
Chela anaogopa kubaki nyumbani peke yake, huku presha ikizidi kila dakika.
Je, Hambe atasikiliza onyo hili au wataingia kwenye matatizo makubwa zaidi?