Kibibi anamkaba Roy kwa maneno mazito — kwa nini anajiongelesha lakini haombi msamaha?
Mvutano wao unazidi kuchemka na deni linakuwa chanzo cha makabiliano.
Wakati huo huo, Riyama anamfuata Ritha kudai malipo yake.
Lakini jibu la Ritha ni kali — anamwambia amuache, akidai kijana huyo tayari amemvuruga sana .
Huba inaendelea kuonyesha kuwa deni, maneno na hasira vinaweza kuvunja kila uhusiano!