Nkosana anamkuta baba yake Zandile akinywa pombe kwa siri — wakati huyohuyo mzee amekuwa akijifanya mgonjwa na kutumia wheelchair.
Lakini leo? Nkosana anamfuma akiwa amesimama imara kabisa… na anavuta sip yake kwa raha!
Kabla hajamaliza kumuuliza maswali, Zandile anatokea na kuanza kumtetea baba yake kwa nguvu zote .
Nkosana anakosa hata cha kusema — ukweli unazidi kuonekana, lakini Zandile hawezi kuvumilia mtu kumgusa babu yake.
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ