channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Fahad Akasirishwa na Munir kupewa madaraka – JIVU

Video04 Agosti

Familia ya Amanzi yaanza kumpa Munir madaraka, jambo linalomkera Fahad mpaka kuchukua picha ya mdogo wake na kuivunja kwa ngumi! Mkewe anamkuta katika hali hiyo na kujaribu kumtuliza – lakini hasira za Fahad zimefika pabaya. Usikose #JIVU kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3:00 Usiku ndani ya Maisha Magic Bongo, Ch. 160.