channel logo dark
channel logo dark

Mpali

160Drama16

Wake wa Mzee Nguzu Wakijaribu Kutoroka – Mpali

Video08 Agosti

Wake wa Mzee Nguzu wanajitahidi kutoroka kutoka kwenye hatari inayowakabili, lakini hali bado ni tete na hatari haijaisha! Je, mipango ya kuwakomboa wake hao itafanikiwa? Tazama harakati hizi kali na mzozo wa nguvu ndani ya Mpali S6 Ep 9-12, kwenye Maisha Magic Bongo!