Ray na Tima wanajikuta wamekutana kwa Ritha , wanabaki na mshangao. Lakini tension inaongezeka zaidi pale Tima anapompeleka Chidy hospitali kwa ajili ya matibabu ya afya ya akili .
Wakati huo, Kibibi na Roy wakiendelea na mapambano juu ya umiliki wa nyumba.