Hlomu Aitaka Zulu Brothers Walipe Kisasi – The Wife
Video
21 Julai
Baada ya vurugu kwenye harusi na mtoto kuuliwa kikatili, Hlomu haoni tena maana ya kusamehe.
Akiwa amevunjika moyo na kugubikwa na hasira, sasa anaitaka familia ya Zulu Brothers kulipa kwa njia ile ile waliyoleta majonzi — kwa damu.