Joto la kisasi linazidi kupanda kwenye JIVU! Amanzi anaangukia mikononi mwa genge hatari la Zingizi katika tukio la kutisha linalotia shaka juu ya hatma yake.
Je, huu ni mwisho wa safari ya Amanzi au mwanzo wa kitu kikubwa zaidi?
Tazama highlight hii ya kusisimua kutoka #JIVU na fuatilia kwa karibu mfululizo wa matukio yanayobeba giza, kisasi na hofu.