Logo
channel logo dark

The Wife

160Tamthilia16

Hlomu Aitaka Zulu Brothers Walipe Kisasi – The Wife

Video
21 Julai

Baada ya vurugu kwenye harusi na mtoto kuuliwa kikatili, Hlomu haoni tena maana ya kusamehe. Akiwa amevunjika moyo na kugubikwa na hasira, sasa anaitaka familia ya Zulu Brothers kulipa kwa njia ile ile waliyoleta majonzi — kwa damu.