Maisha yanayotegemeana yanawafanya watu wenye matabaka tofauti ya kimaisha wasiotamani kuingiliana kimaisha kujikuta wanalazimika kuwa na muingiliano wasioupenda kutokana na mahusiano, kazi na pesa unaoleta migongano mingi isiyoisha.
S1 | E8
27 Julai 11:30
'S1/E8 of 13'. Visa vingi vinavyozaa visasi na malumbano makubwa kati ya pande mbili za watu wa maisha ya juu,ya kati na...
Chagua kipindi gani kipya ndani ya Maisha Magic Bongo mwezi wa Julai unakuwa na hamu nacho
Kati ya hivi vipindi viwili vipya, ni kipi unahamu nacho zaidi?