Wake wa Nguzu Watekwe kwa Bastola – MpaliWakati wakibishana, wake wa Nguzu wanavamiwa ghafla na mtu mwenye bastola!
Sasa maisha yao yapo hatarini — je, nani yuko nyuma ya utekaji huu?
Tazama tukio hili la kutibua hisia kutoka #Mpali, na fuatilia drama kali zaidi kwenye Maisha Magic Bongo!