Tamthilia mpya ya kituruki inayochukua nafasi ya My Name is Farah – Broken PiecesTamthilia mpya, msisimko mpya! Broken Pieces inachukua nafasi ya My Name is Farah kama tamthilia ya Kituruki ya kisasa inayogusa hisia. Ikiwa na siri nzito, mapenzi yaliyojaa maumivu, na familia zilizoingiliana kwa njia ya kushangaza, tamthilia hii mpya ndani ya Maisha Magic Bongo ni sijakukosa kutazamwa mwezi huu wa Julai.