channel logo dark
Mwali S4

Mwali S4

muhula

Msaidie Nozo kuchagua! - Mwali

Nani anamfaa Nozo zaidi? Tuambie hapo chini

Zawadi27%
Mwali73%
Mwali S4

KUHUSU KIPINDI

Tamthilia ya Mwali inafuatilia mahusiano kati ya Nozo na Mwalimindu (Mwali). Nozo ni mtoto wa kwanza wa Chifu Kimbamanduka wa Bagamoyo na Mwali ni binti wa Chifu Kandamsile wa kijiji Jirani. Ingawa ni majirani, Mwali na Nozo wajikuta kuwa maadui juu ya baba zao.

S4 | E13
12 Juni 11:30
'S4/E13 of 13'. Uchu wa madaraka, usaliti, visasi na mapenzi vinavunja ngome kuu mbili za Chifu Pingu na Chifu Kandamsil...

Pata kujua waigizaji wa Mwali