Huba
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Video za hivi karibuni
Nelly amlilia babake - Huba
'Usimpige Mwanamke' - Huba
Video
'Mjomba ni Mama' - Huba
Makoyo amchana Kibibi na kumkumbusha kuwa 'Mjomba ni Mama' huku bado wametekwa kwa mganga. Kwa upande mwingine, Dave anamkanya Abby kutozungumza 'vibaya' nyumbani kwake.
Video
Nelly Yuko Wapi? - Huba
Abby amemhakikishia Dave kuwa atawaachia huru ikiwa watamwambia alipo Nelly. Kwa upande mwingine, Bi Kisitu na Bibiye Kibibi wanaendelea kushikiliwa na mganga na wana mipango ya kutoroka.
Video
Kibibi aitoza Familia Yake - Huba
Jude anamazungumzo kuhusu kupelekwa kwa Kibibi, huku upande mwingine, Kibibi apinga kujuana na Bibiye na Anko Makoyo na kuwatoza kama Kafara kwa mganga.
Video
Kibibi mbele ya Mganga Mkuu - Huba
Mganga awahoji watumwa wake kwanini wamekamata na Kumleta Kibibi Mbele Yake wakati sio Tishio Kwao.
Video
Kibibi afikishwa mbele ya mganga mkuu - Huba
Jude amegundua kuwa kuna kitu Nicole anamficha huku Kibibi afikishwa kwa mganga mkuu ambaye anathibitisha kuwa wamemkamata asiye faa -'sio tishio kwetu'.
Video
Kibibi yupo kwa mganga - Huba
Jude anamchonganisha Tima kuhusiana na uwezo wa Devi kumdhuru huku Kibibi yupo kwa mganga.
Yajayo
Leo
Kesho
Jumapili
Jumatatu
Spotlight
Get DStv
Get Showmax
Self-service MyDStv
Stream DStv