Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Angalia
Video
Nelly amlilia babake - Huba
Malika aanzisha ugomvi baada ya kuambiwa 'nilikuwa nakuhitaji.' Kwa upande mwingine, Waridi yupo hopsitalini na ametembelewa na Poshy.
Video
'Usimpige Mwanamke' - Huba
Tima amfokea Dave kwa upigwaji wa Nelly, ila kwenye maongezi amegundua kuwa Nelly atakuwa anaficha kitu.
Video
'Mjomba ni Mama' - Huba
Makoyo amchana Kibibi na kumkumbusha kuwa 'Mjomba ni Mama' huku bado wametekwa kwa mganga. Kwa upande mwingine, Dave anamkanya Abby kutozungumza 'vibaya' nyumbani kwake.
Video
Nelly Yuko Wapi? - Huba
Abby amemhakikishia Dave kuwa atawaachia huru ikiwa watamwambia alipo Nelly. Kwa upande mwingine, Bi Kisitu na Bibiye Kibibi wanaendelea kushikiliwa na mganga na wana mipango ya kutoroka.
Video
Kibibi aitoza Familia Yake - Huba
Jude anamazungumzo kuhusu kupelekwa kwa Kibibi, huku upande mwingine, Kibibi apinga kujuana na Bibiye na Anko Makoyo na kuwatoza kama Kafara kwa mganga.
Video
Kibibi mbele ya Mganga Mkuu - Huba
Mganga awahoji watumwa wake kwanini wamekamata na Kumleta Kibibi Mbele Yake wakati sio Tishio Kwao.
Video
Kibibi afikishwa mbele ya mganga mkuu - Huba
Jude amegundua kuwa kuna kitu Nicole anamficha huku Kibibi afikishwa kwa mganga mkuu ambaye anathibitisha kuwa wamemkamata asiye faa -'sio tishio kwetu'.
Video
Kibibi yupo kwa mganga - Huba
Jude anamchonganisha Tima kuhusiana na uwezo wa Devi kumdhuru huku Kibibi yupo kwa mganga.
Video
Nini Kimemkuta Jude? - Huba
Chidi anashikwa mashati kwa kutaka kujua Jude alifanya kosa gani huku Kibibi amdadisi Uncle Makoyo kujua nini aliwaambia watu kumhusu.
Video
Ni nzuri sana, hakika utapenda!
Msimu huu tumekuandalia burudani kibao na hizi ni baadhi ya Tamthilia za Kufuatiliwa. Tuendelee kutazama Maisha Magic Bongo na Maisha Magic Poa; yote kwa hisani ya DStv!
Video
'Mtoto wangu alikuwa kama Malaika' - Huba
Kibibi, Uncle Makoyo na Mamake Makoyo wamsikiliza 'Mgeni' akisimulia kuhusiana na mtoto wake. Kibibi amekerwa baada ya kuulizwa kama ashawahi kuwa na mtoto.
Video
"Sioni tofauti yako wewe na mamako aliyefariki" - Huba
Makoyo amfokea Kibibi baada ya Kibibi kuuliza maswali kuhusu mgeni aliyekuja kijijini huku Sidi Abby amfukuza Sidi nyumbani kwake baada ya Sidi kumwambia kuwa mwanamke hapigwi.
Video
Mtoto Yuko Wapi? - Huba
Abby na Nelly wanavurugana kisa mimba iliyoathirika huku Dave anahangaika kutafuta mtoto wake ambaye alichukuliwa na Mtu.
Video
Nicole ajaribu kumshawishi Jude - Huba
Kibibi aomba kuachiliwa huru Huku Nicole anamshawishi Jude kuenda naye Night drive
Video
Nelly Hospitalini - Huba
Jude na Nicole wagombana kisa mzigo wa pale baa. Hospitalini, Nelly amelazwa na bado anamuwaza Nicole
Video
Nelly ajihusisha kwenye ulevi - Huba
Abby na Nelly wakorofishana kisa simu.
Video
Kibibi afwatwa nyumbani Kwa Akina Makoi- Huba
Kibibi afatwa nyumbani kwa Akina Makoi huku Tesa ampiga Majungu Sidi kwa kuwa Uswazini.
Video
“Ndoa sio Kifungo!”- Huba
Nicole amfariji Nelly kuhusiana na Ndoa yake na anamkaribisha kwenye Club yake huku Jude anazinguliwa kwa malipo ya kazi alilofanya.
Video
'Unafeli wapi! Mbona hufanikiwi Kimziki" - Huba
Kibibi ataka kujua kwa nini hafaniki kwenye mziki. Dev amlaumu Tima.
Video
Pesa na jeuri huambatana - Huba
Abby anaona hasara kwamba Nelly amebadilika badala ya kuwa mke mwema amekuwa mke msumbufu na hamjali.
Video
Heshima ni heshima' - Huba
Tesa amshauri Jude amkunje samaki akiwa mbichi na Abi na Nelly wazungumuzia swala la mimba
Video
“Uamuzi wangu uko pale pale!”- Huba
Yakubu hana mpango wa kuhudhuria mazishi. Chidi amfariji mkeo kwa kifo cha mwanao.
Video
“Usinichukulie poa!”- Huba
Tima amkataza Devi kuleta wanawake wengine kwao. Chidi adai kujua mpango wa Kibibi kwa sasa hivi.
Video
Mazishi ya Angel- Huba
Siku ya Makishi ya Angel ya fika na Nelly akutana na Devi.
Onyesha Zaidi
24 ya 278