Logo
Broken Pieces SP Billboard
channel logo dark

Broken Pieces

160TelenovelaPG13

muhula

1

Broken Pieces Poster

Kwa undani zaidi

Broken Pieces ni tamthilia ya kusisimua inayosimulia maisha ya familia mbili zilizounganishwa na makosa ya hospitali — watoto kubadilishwa bila kujua. Miaka 15 baadaye, ukweli unapoibuka, unaleta mgawanyiko mkubwa kati ya wazazi, watoto, na maisha yao. 

S1 | E2
09 Julai 19:00
'S1/E2 of 49'. Watoto wanabadilishwa hospitalini kimakosa, Miaka 15 baadae, siri kubwa inafichuka na maisha yao kubadili...

Ulimwengu wa Broken Pieces