maisha magic bongo logo

Siri ya Mimba ya Mchuma – Sikujua Amwaga Ukweli

Video01 Septemba

Sikujua anamfungukia Mchuma kuwa mimba aliyobeba ni matokeo ya shinikizo la kulala na Fahad ili Mchuma arejeshwe kazini. Sasa siri hii inatikisa familia na kufungua mlango wa drama mpya kwenye #JIVU!