Vurugu zimeibuka ndani ya familia ya Zulu Brothers!
Qhawe anamueleza Mqhele ukweli mchungu — kwamba amelala na mke wake, Mahlomu. Na zaidi ya hapo, anadai kuwa mtoto wa Mahlomu ni wake!
Je, Mqhele ataweza kustahimili usaliti huu au ni mwanzo wa vita mpya?