Mwanida Atupiana Maneno na Kojack – Mpali
Video
04 Novemba
Mambo yanazidi kupamba moto kwenye familia ya Nguzu! Mwanida na Kojack wanatupiana maneno mazito hadharani. Kojack anamuita Mwanida mwizi wa mtoto – kauli inayotikisa nyumba nzima! Je, hii ni vita ya maneno tu au kuna ukweli unaofichwa nyuma yake
Jisajili kuangalia
Up Next
Hambe Aingiwa na Hofu – Mpali
24 Oktoba
Hekaheka Zarejea kwa Nguzu – Mpali
17 Oktoba
Yvonne Chaka Chaka Amshangaza Nguzu Kwenye Birthday – Mpali
10 Oktoba
Mwanida Achoshwa na Tabia za Frank – Mpali
03 Oktoba
Mke wa Hambe Azidi Kuteseka kwa Mapenzi ya Kuzo – Mpali
26 Septemba
Frank Ahisi Mtoto Si Wake – Mpali
19 Septemba