channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Moto umeingia – Jua Kali

Video15 Januari

Mkao wa chakula unaanza vibaya baada ya familia kuanza kutukana wakiwa mezani. George aomba msamaha na mauwa lakini alishafumwa. Bibi Tuma apata taarifa mbaya.