maisha magic bongo logo

Mandisa Amtega Mke wa Kamishna – Mpango wa Mauaji

Video01 Septemba

Mandisa anamshawishi Mke wa Kamishna aingie ndani ya gari ili ampe siri kuhusu Zulu Brothers. Lakini kumbe ni mtego hatari wa mauaji! Je, atashtuka mapema au ataangukia kwenye mchezo wa Mandisa?