Stella amwambia Thomas kwamba hamuamini na Thomas ajibu kwamba bado anampenda mke wake. Mama yake Sophia bado anaumwa na kaka yake ahadi kumpigania. Felix aenda kumtafuta Maria wakati mama Eva alazimisha wamgonge Tuma.
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ