Baada ya mwaka mzima bila kutoka nje, Balui anaamua kupumua kidogo. Lakini badala ya kufurahia uamuzi wake, familia nzima inamgeukia kwa hasira. Mzee Habibu anamfokea vikali, na Balui anajikuta akivunjika moyo
Je, familia itamuelewa Balui au watazidisha maumivu yake?
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ