Frank anapokea taarifa za kifo cha mtoto wake π’, kumbukumbu za Kitundu zinachukua tena nafasi, Enzo anakwama kwenye uzalendo wake, na makaburi ya Eva yanafukuliwa π±.
Je, ndoa itasambaratika au bado kuna matumaini? Usikose #Juakali kwenye Maisha Magic Bongo! π₯