Playlist Videos
Video
Mwanzo wa Nuru – Nuru
Adrian aenda kwa mganga kumroga Naomi, wakati Ritha aendelea kuonana na Adrian kazini.
Video
“Kaa mbali na mke wangu” – Nuru
Ronald aja kumshukuru boss wake kwa kazi na pia amuonya Adrian akae Mbali na mke wake.
Video
Unacheat! – Nuru
Adrian arudi kwa mganga na Ronald amfuma Ritha.
Video
“Naomi nakupenda!” – Nuru
Ronald aomboleza ndoa yake baada ya kukataa kutoa talaka. Baba Naomi amleta Juliana nyumbani na Adrian amwambia Naomi kwamba anampenda.
Video
Ronald arudi kwa Doreen – Nuru
Baada ya kumfuma Alice na John, Naomi bado afikiri Ritha yupo na John. Wakati Ronald arudi kwa Doreen.
Video
Mjini shule! – Nuru
Ritha amwambia Ronald ukweli lakini Ronald hamuamini. Naomi ampigia John lakini John hana muda nae.
Video
“Naomi nakupenda sana”! – Nuru
Adrian amuomba Naomi wake pamoja, na Ritha amkuta Ronaldo mlangoni akiwa amelewa.
Video
Ukweli utajulikana – Nuru
Ritha adai kuwa bado anaemia ukweli lakini Ronald hataki kusikia. Uchafu wa Adrian wa gundulika kwa Mzee Andrew na afukuzwa kazi.
Video
Ritha aamua kuishi kisela na Ronald – Nuru
Mr Andrew ampiga Naomi juu ya Adrian. Ritha amua kumfanya Ronald kama mshikaji wake.
Video
Finale ya Season 1 – Nuru
Sikudhani bado aendelea na mishe zake na Rita achoka kabas na Ronald.
Video
Sikuamini! – Nuru
Mzee Andrew amwambia Ronald kwamba hamuamini yeye. Sikudhani afumwa na Danny akiwa chumbani na mapenzi wake.
Video
ohn afumwa! – Nuru
Ritha aja kumtembelea John wakati akiwa na Alice na Mzee Andrew amuonya Julieth kuhusu maongezi yake ya wachawi.
Video
Alice achagua kati ya John na Eddy– Nuru
John amuomba Alice asibadirika baada ya Alice kurudu kwa Eddy. Danny amtumimua Juliana baada ya Mzee Andrew kuwafuma.
Video
Nitawanyoosha! – Nuru
Mama mganga awaonya majirani, Andrew amuokota Ronald na Ritha aomba mawazo kwa wazee.
Video
'Usiniletee ushenzi'– Nuru
Naomi anapigana na Rita baada ya kumshutumu kwa kudharau jinsi baba yao anavyowasaidia.
Video
Ronald akataa kumuomba Mzee Andrew msamaha – Nuru
Ritha mabwambia Ronald amuombe msamaha Mr Andrew lakini akataa, na John aja kumfuata Alice.
Video
Mapenzi yananitesa! Nuru
Baada ya Alice kumuacha, John arudi kwa bibi yake na Doreen amwambia Adrian kwamba ana mimba yake na Mzee Andrew ataka kujua Ronald yupo wapi.
Video
Naomi agundua siri za Adrian - Nuru
Naomi agundua kwamba Ronald ndiye mrithi wa mali za baba yake baada ya Mzee Andrew kugundua kwamba siye mtoto wake na Ritha aachana na John.