Playlist Videos
Video
Itaanza tarehe 1 Aprili - Maisha Magic Bongo
Usikose mwanzo wa tamthilia mpya, tarehe 1 Aprili.
Video
Kutana na Jiya - Jiya
Kutana na Ruksa Verda anayeigiza kama Jiya ndani ya kipindi cha Jiya.
Video
Kutana na Malika - Jiya
Kutana na Shamsa Ford anayeigiza kama Malika ndani ya kipindi cha Jiya.
Video
Kutana na Patel - Jiya
Kutana na ‘Akili The Brain’ anayeigiza kama Patel ndani ya kipindi cha Jiya.
Video
Kutana na Senteu- Jiya
Kutana na Senteu ndani ya kipindi cha Jiya.
Video
Kutana na Tausi- Jiya
Kutana na Aunty Ezekiel au Mama Cookie anayeigiza kama Tausi ndani ya kipindi cha Jiya.
Video
Mwanzo wa Jiya – Jiya
Matukio ya vipindi via kwanza vya tamthilia ya Jiya.
Video
Jiya akataa kuolewa – Jiya
Senteu atoroka toka mwenye boma lake na aishia mjini kwenye harusi
Video
Don G alewa – Jiya
Don G apigana baada ya kugundua kwamba Jiya ameshaolewa.
Video
Sanjeet apigana na Don G – Jiya
Sanjeet agombana na Don G baada ya kugundua kwamba ana mahusiano na Jiya. Mama Senteu ana maumivu juu ya mwanza kuondoka.
Video
Jiya atoroka! – Jiya
Jiya aamua kutoroka nyumbani, wakati kijijini mama yup mahututi.
Video
“Kuwa na heshima na jasho la mtu!” – Jiya
Mama amuonya mtoto wake, baada ya kudai pesa zake. Senteu amkaribisha Jiya nyumbani.
Video
Priya adai kwamba Jiya yupo sawa – Jiya
Pateel apokea simu ya kumonya na Priya adai kwamba Jiya amepatikana.
Video
Neema bado ana hasira na Senteu – Jiya
Bibi yake Jiya ana manne menti kwa Don G na Neema bado ana hasira na Senteu.
Video
Senteu atoroka boma na Jiya – Jiya
Jiya aogopa baada ya yatu kuja nyumbani wakati Senteu hayupo.
Video
Pombe Mbaya – Jiya
Senteu amuokoa Jiya tena, wakati kijijini mama Stella alewa.
Video
Mama Senteu afariki – Jiya
Mama Senteu afariki dunia, na Neema na Senteu wafanya mbinu za kufanya msiba.
Video
Je Jiya ataweza kuzungumzaa kimaasai?– Jiya
Lebo na Neema wajaribu kumfundisha Jiya mila na desturi na mila za kimaasai.
Video
Niue! – Jiya
Wanakijiji wataka kumuua Jiya na Senteu adai mwili wa mama yake.
Video
Mtoto! Mtoto! Mtoto! – Jiya
Neema na Maua watoa siri kwamba Chausiku ana ujauzito. Don G ataka kumpiga risasi Sanjeet.
Video
Kivumbi kitaanguka – Jiya
Don G amezuiliwa na Sanjeet na wazee wa kijiji wanataka majibu.
Video
“Kumkataa Sanjeet, haimaanishi anakutaka wewe” – Jiya
Jiya akataa kutibiwa, na Dr Zaramo amwambia mtoto wake ukweli.
Video
Maua afariki! – Jiya
Jiya ataka kujua ni nani aliyemuua Maua na Don G afuatwa hospitalini na alazimishwa kunywa dawa.
Video
'Hepi birthday' – Jiya
Don G ameahidi kumsaidia babake katika uchunguzi halafu baadaye washerehekea birthday.
Onyesha Zaidi
24 ya 49