Playlist Videos
Video
Mwisho wa Msimu - Gharika
Hatimaye, tunafika mwisho, Je, Malika atafanikiwa kushinda vikwazo vyote na kutimiza malengo yake. Usikose kuangalia mwisho wa kusisimua wa Gharika jumapili hii.
Video
Tumwambie Ukweli Mzee Gamba? Gharika S1 I Ep 49 & 50
Mzee Gamba Kazi anayo, anataka kujua kama Poshy amemsaliti ama la, Tumwambie ukweli au tuachane nae.
Video
Mimba Hizi!!! –Gharika
Malika aanzisha ugomvi baada ya kuambiwa 'nilikuwa nakuhitaji.' Kwa upande mwingine, Waridi yupo hopsitalini na ametembelewa na Poshy.
Video
Poshy Ofisini Kwa Mzee Gamba –Gharika
Familia ya Mzee Gamba imegundua kuwa mwanawe aliavya mimba na yupo ofisini.
Video
Poshy Ofisini Kwa Mzee Gamba –Gharika
Aizan anataka kujua documents zilizoko huku Poshy yupo ofisini kwa Mzee Gamba akisisitiza kuwa karani wa ofisini ndo 'mchepuko wake' Mzee Gamba.
Video
Malika akabiliwa na Majuto –Gharika
Malika apata kumbukumbu ya Mamake akimfukuza nyumbani huku Mbaruku afuatwa nyumbani kwa Queen.
Video
Gamba amkaba Queen –Gharika
Queen na Mzee Gamba wana maongezi kuhusu kuachana kimapenzi huku Queen anasisitiza kuwa bado wapo pamoja na hawezi kuachika kirahisi huku Gamba anaichukulia kama 'kuhadaiwa' na kumkaba koo.
Video
Mimba ya Malika ni ya Aizan –Gharika
Malika amjuza Aizan kuwa yeye ndo baba kijacho huku Mzee Gamba amkanya Akia kutomhusisha kwa mambo yao. Aidha, Malika anarudi kwa Dada Anila kumwomba kukaa naye kipindi hiki cha ujauzito.
Video
Malika arudi nyumbani na Ujauzito– Gharika
Malika arudi nyumbani akiwa na ujamzito na kumwomba mamake msamaha ila mama amfukuza huku akimfananisha na marahemu babake. Kwa upande mwingine, Aizan ana mazungumzo na babake ya kutaka kujua mamake yuko wapi
Video
'Sitaki Kuenda Jela Mimi' Sudi kwa Masters Wake – Gharika
Sudi anawalilia Aizan na Badi na kuwaomba alindwe asiende jela baada ya Mamake Malika kuwajulisha kuwa ana video inayowaonyesha wakishiriki katika mauaji.
Video
Ni nzuri sana, hakika utapenda!
Msimu huu tumekuandalia burudani kibao na hizi ni baadhi ya Tamthilia za Kufuatiliwa. Tuendelee kutazama Maisha Magic Bongo na Maisha Magic Poa; yote kwa hisani ya DStv!
Video
Mimi na Babako tumeamua kunatalikiana – Gharika
Queen na wenzake wamekamatwa na hela nyingi huku mke wa mzee Gamba amjullisha mwanae kuwa wanatalikiana
Video
Fanya Transfer!!! – Gharika
Tana na mwenzake wametekwa na kulazimishwa kufanya transfer ya hela huku Mr. Gamba aandamwa.
Video
Najilaumu kwa hili" Camila – Gharika
Camila ajilaumu huku akilia mbele ya mwanae Aizan.
Video
Mtoto wangu yuko wapi!– Gharika
Mamaake Malika anahamu ya kujua mtoto wake yuko wapi na yupo tayari kuwahusisha Polisi.
Video
'Sina hela'! – Gharika
Gamba akataa kumlipia Waridi ada na ugomvi unazuka baina ya Beti na Malika. Baadaye Didi na Tana wakaingilia na kumpiga Beti
Video
[Msimu wa kwanza] Sanaa ya Malika
Mamaake Malika apasua kamera ya Malika baada ya kujua anataka kufuata ndoto zake za kusomea sanaa,