Playlist Videos
Video
Kutana na Amari - Dosari
Mr Amari au Amari Gold, mfanya biashara ya madani.
Video
Kutana na Queen - Dosari
Kutana na Malkia anayeitwa Queen.
Video
Kutana na Sasha & Kiki - Dosari
Sasha na Kiki ndani ya Dosari
Video
“Kutana na mlima!” – Dosari
Mwanzo wa tamthilia mpya inayoitwa Dosari ndani ya Maisha Magic Bongo.
Video
“Sijui biashara nyingine!” – Dosari
Queen amuomba mama yake abadirishe biashara anayofanya. Magodo ahongwa pesa.
Video
Zuri yupo wapi?– Dosari
Queen na mume wake bado wamtafuta Zuri na Amra aishia hospitali.
Video
Game On!– Dosari
Queen apewa onyo baada ya Zuri kurudi na ajiteua kama mkuu wa kampuni wakati Amari bado amelazwa.
Video
Queen akataa kuua – Dosari
Mama Queen ataka Queen achukue mali zote za Amari baada ya kumuua Amari.
Video
Malik amuonya Queen– Dosari
Queen aendelea na ukatili wake baada ya kumuonya wakati Malik adai mali ya baba yake.
Video
Masaki, Slipway, Saa 2 kamili! – Dosari
Malik afanya mkutano lakini je ni mtego?
Video
Huu ndiyo mwisho wa AmarI?– Dosari
Queen amkumbusha mfanya kazi wa nyumbani kwamba yeye ndio bosi waki hali ya Amari yazidi kuwa mbaya.
Video
Msaliti yupo kati yenu! – Dosari
Bi Fatima ataka kujua nani ni msaliti kati ya wasichana wake, Kiki ajiingiza kwenye mtego na dada yake.
Video
'Usitumalizie hasira zako' – Dosari
Rubi anajaribu kumtetea binti yake dhidi ya hasira ya baba yake baada ya yeye kujaribu kuelekeza hasira yake kwake.
Video
Queen agombana na Nuru – Dosari
Queen apigana na Nuru, mke wa kwanza wa Amari.
Video
Nani muuaji? – Dosari
Malik agundua ukweli kuhusu mama yake na Zuri ataka kujua kuhusu hali ya baba yake.
Video
Kampuni ya filisika – Dosari
Queen ataka kujua muongozo wa kampuni na Bwana Shamta.
Video
Apollo akutana na mama yake! – Dosari
Apollo ana maswali kuhusu mama yake, na mfanyakazi wa nyumbani kwa Queen aonywa kuhusu jiko lake.
Video
Sasha ajaribu kujiua – Dosari
Rafiki zake Sasha wamkuta baada alivyojaribu kujiua na Queen amtaka Shamta.
Video
Leta pesa tufanye biashara – Dosari
Ruby si mtu wa kubezwa. Wakati wengine wanadhani wana faida, yeye yuko mbele yao kwa umbali, hata kama inabidi atumie teknolojia.
Video
DNA! – Dosari
Kenzo ataka DNA ya Kido kujua mtoto ni wa nani.
Video
Apollo yupo kwenye matatizo – Dosari
Queen apokea simu toka kwa Apollo akiwa na taarifa mbaya
Video
“Mimba haifichiki” – Dosari
Sasha amuomba mama yake ushauri juu ya ficha hii mimba.
Video
Nirudishie pesa zangu – Dosari
Kenzo adai pesa yake na hataki kusikia na na Jibali apata ndoto kama Queen anamuua.
Video
[MSIMU WA MWISHO] Akida Dumba matatani – Dosari
Queen na mwenzake wamtishia Bwana Dumba na kurekodi confession yake.