Playlist Videos
Video
Kutana na maDivas na maHustlas wa Dar es Salaam – Divas & Hustlas
Angalia kipindi cha kwanza cha Divas & Hustlas tukikutana na Malkia Karen, Zee Cuty, Kontwana, Chino, MC Kitana na Reyjones,
Video
I'm the champion – Divas & Hustlas
Chino apanga party bomba kabisa, anawaalika wenzake akisema hajamzuia yeyote kula nyama. Pia wiki hii wenzake, wakiwemo Zee Cuty wamuandama Chino kuhusu kununua mbuzi bila vinywaji.
Video
Kontwana arudi kwenye shule yake ya msingi – Divas & Hustlas
Kontawa arudi kwenye shule yake ya Armani kuwatia moyo wanafunzi wakati mtoto wa Reyjones anahitaji miwani.
Video
Chino azumzia familia yake – Divas & Hustlas
Chino aongelea kuhusu huzuni zake baada ya kupoteza wadogo zake, waakt Kitana anafanya shoot ya video.
Video
Mechi ya Kinata na Justin – Divas & Hustlas
Bodyguard wa Kinata, Justin afanya mechi na Kinata.
Video
Mechi ya Kinata na Justin – Divas & Hustlas
Bodyguard wa Kinata, Justin afanya mechi na Kinata.
Video
Shida ni nini? – Divas & Hustlas
Kontwana afanya shoot ya video yake wakati Chino acheleweshwa na ampiga kamera.
Video
Mara ya kwanza kwenda Kigoma– Divas & Hustlas
Kontwana afanya safari ya kwanza kwenda Kigoma na gari la Malkia Karen ya kwama njiani wakati Chino afanya video ya muziki wake.
Video
“Nawaacha wote!” – Divas & Hustlas
Chino afanya mango kuzindua nyumba mpya, wakati Kontwana akasirishwa na uchelewaji.
Video
Siku ya sherehe
Ben Pol atembelea sherehe wakati mtoto wa Rejones afanya graduation na Chino afanya sherehe kwake.
Video
Finale ya msimu wa kwanza – Divas & Hustlas
Kundi la aamua kukutana na kufanya michezo pamoja na Chino aongelea kuhusu ajali yake.
Video
Kingereza na Divas & Hustla - Mazuri ya 2023
Jifunze kiingereza cha Divas na Hustlas.
Video
Mwanzo wa msimu wa pili - Divas & Hustlas
Gladness Kifaluka atoa ratiba ya vipindi vya kuangalia ndani ya Maisha Magic Bongo Juni hii
Video
Kinata adai ndoa ya pili - Divas & Hustlas
Kinata ajiandaa kufanya ndoa ya pili, wakati Chino ajianda kufanya show.
Video
Birthday ya Dolly Restie - Divas & Hustlas
Dolly Restie ajiandaa kusherekea siku yake ya kuzaliwa bila uwepo wa Nana.
Video
“Usinishike kama hivyo” - Divas & Hustlas
Kinata abishana na Rey Jones juu ya kukosea keki. Na Chino afanya shoot ya video yake mpya.
Video
Mgodi ambao hauna madini hauchimbwi! - Divas & Hustlas
Nana ampasha Kontwana kwamba hana pesa. Wakati Kinata aamua kumpa Dolly show ya kibinafsi.
Video
Kinata afanya maadalizi ya kufunga ndoa tena! - Divas & Hustlas
Kontwana amfundisha Kanata kuogelea. Wakati Kanata afanya maandalizi ya ndoa take ya pili.
Video
Rey Jons anazeeka! - Divas & Hustlas
Rey Jons anasherekea miaka 17 tangia kuzaliwa kwa mwanawe. Wakati Chino wanaman yupo Ziarani nchini Uganda.
Video
'This is my house' - Divas & Hustlas
Clinton apeleka dadake kunyolewa nywele na Nana alihisi kwamba Kontawa alikuwa anamchambulia
Video
'Umenichanganya akili' - Divas & Hustlas
Dolly adai kwamba Kontawa amemchanganya akili baada ya director kumchagua msichana mwingine awe kwa video ya Kontawa badala yake
Video
"Don't Try me!" - Divas & Hustlas
Kontwana afundishwa kuigiza . Reyjones anajaribu kuthathmini ugomvi wa Dolly na Nana.
Video
'Sijabahatika kuishi na Mwanamke!' - Divas & Hustlas
Chino Wanaman azungumzia kuwapoteza wadogo wake wawili huku Kinata MC aeleza matukio yalomkuta akishoot na Video Queen.
Video
Nyumba au Gari? Nini kitangulie?- Divas & Hustlas
Kinata MC Azungumzia kuuza nyumba yake Milioni 21 huku akimhusisha Chino wanaman,nana dollz na Kontawaa
Onyesha Zaidi
24 ya 30