Playlist Videos
Video
Mwanzo wa Dhohar– Dhohar
Angalia mwanzo wa kipindi kopya cha Dhohar.
Video
Fadhira ndiyo mdogo wako– Dhohar
Kuna deni linadaiwa na dada sake Zahra amtetea lakini mama yaka hataki.
Video
“Kama kudanga umedanga kwa wengi” – Dhohar
Dhohar amuonya mama Zahra juu ya mwanae.
Video
Mwarabu koko? – Dhohar
Baba Flora amkataza Flora kuonanana na mchumba wake tena na Chino atoa maamuzi juu ya kampuni.
Video
Nataka kumuoa Flora! – Dhohar
Cholo aamua kumuoa Flora wakati mama yake ana mke mwingine.
Video
Umenioa ilinikupikie? – Dhohar
Wanandoa wagombana juu ya uppish nyumbani.
Video
Hii ni vita! – Dhohar
Flora aonywa na vita mpya wakati Zahra ataka kujua mama yake anamficha nini.
Video
Mbona wa shangaa? – Dhohar
Salaka amdai mama Zahra kupambania kipaji cha mwanae. Cholo na Salaam bado wakwama baharini.
Video
Mtoto huna! – Dhohar
Majirani waanza ugomvi tena juu ya mwanae kutomlipia mama nyumba baada ya kutoka Afrika Kusini.
Video
“Mume wangu kaoa mke wa pili” – Dhohar
Mama aja polisi kumshitaki mume wake baada ya mume kupata nyumba ndogo.
Video
Fadhila akasirika – Dhohar
Kijakazi mpya aja na kazi mpya na Fadhila akasirika