Playlist Videos
Video
Chanda itaanza 2 Oktoba - Maisha Magic Bongo
Jiunge nasi tarehe 2 Oktoba kwa mwanzo wa kipindi cha Chanda.
Video
Kutana na familia ya Diwani – Chanda
Yaz awake wasabi wake mawazo kuhusu kampuni yao. Manga ataka jujus kwanini Dida na Hamza hawapatani.
Video
Mpishi mpya – Chanda
Dida aleta mpishi maya nyumbani kwa sababu hamtaki Hamza. Manga ataka Dida aandae sherehe.
Video
Rukia amfuatilia Mishi – Chanda
Rukia amfuatilia Mishi na Mishi ataka kujua kwanini. Yaz ana wasiwasi na hali ya Azra. Rukia atata kumuokoa Shem
Video
Dida akataa ndoa ya Yaz na Azra– Chanda
Dida akataa Azra kuolewa na Yaz wakati, Babaz anawasiwasi na Mishi.
Video
Azra akutana na Dida – Chanda
Yaz amuomba baba yate amsaidie kusawazisha matatizo ya mama yake na Azra. Wakati huku Dida aamua kukutana na Azra.
Video
Mishi abebwa nyumbani – Chanda
Azra ataka kujua maisha ya zamanı ya Yaz baada ya kuhisa kama Dida alimwambia uongo. Mishi abuluzwa nyumbani.
Video
Babaz na Shem waokolewa– Chanda
Shem na Babaz waokolewa lakini hawakumbuki lolote. Mama Azra arudi na adai kumuna mwanae.
Video
Wazazi wa Yaz wataka aoe mke mpya – Chanda
Rukia a gundua kwamba Mishi ndiye aliye okoa Babaz na Shem. Wakatai wazazi wa Yaz wataka aoe mwanamke mwingine.
Video
Shumu amwambia Hamza ukweli – Chanda
Shumu amwambia Hamza ukweli juu ya sababu yake ya kuondoka.
Video
“Achana na mwanangu Azra!” – Chanda
Hamza amkataza Yaz kuwa karibu na mwanae wakati Mishi amteka Babaz.
Video
Mishi apelekwa mahakamani – Chanda
Rukia amkasirikia Babaz baada ya kugundua simu yake imezimwa. Mishi apelekwa mahakamani.
Video
Wewe, Rukia! – Chanda
Babaz amuonya Rukia kutoenda bandarini kumtafuta Shem.
Video
Mishi ajinyonga – Chanda
Mishi alazimika kuhitimisha kifungo chake na aamua kujiua.
Video
“Kilicho chako, kitabaki kuwa chako!” – Chanda
Mishi atuma kuua wakati anampango wakuiba.
Video
Finale ya Chanda – Chanda
Kipindi cha mwisho cha Chanda.