maisha magic bongo logo
Yalaiti HDtv 1920x1080

Chibu katekwa tena – Huba

Video20 Novemba

Chibu atekwa na Konde, wakati Carlos na Kashaulo wabishana sababu ya Kashaulo kumuacha Sidi. Jude na Hans wagombania Tesa. Happy anamsema Chidi na kuhisi ana mwanamke mwingine.