channel logo dark
Pazia
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia16

Hati za talaka zimetiwa saini– Pazia

Video27 Julai

Miriam aambiwa kwamba alisha weka sahihi kwenye karatasi yake ya talaka. Bidu na Tunu waamua kumpa mtoto wao kwa Waridi. Hatimaye Henry akubali kuweka sahii kwenye talaka yake na Miriam. Baada ya kurudi nyumbani Miriam awafukuza Gloria na Regina wakati Mdoe akataa kutoka kwa Eliza. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ