channel logo dark
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Jemo atiwa jela – Pazia

Video05 Mei

Roommate wa Brenda adai kumtaka Ben na Jemo amwambia Dk Love kwamba Fred ni mnafiki. Wakati Jemo atiwa jela na anahitajinpesa. Edu anataka kujua ujauzito ni wanani na kama mtoto sio wake anataka kumuacha Regina. Gloria ajifunza jina la baba yake na Ben anatakujua Fred ni nani. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ